The House of Favourite Newspapers

Kijana Aongea Kwa Uchungu Akiomba Msaada, Yupo Kitandani Miaka 5 – Video

0

Kijana Ally Hassan, ambaye tulitoa habari yake hivi karibuni hivi halisi anayoishi ya kulala na dumu lililokatwa kitandani, ili haja ndogo ipitie hapo kwasababu hana uwezo wa kununua Pampers, hivyo kwakuwa hajui haja ndogo inapotoka kwasababu ya kupooza, imebidi aweke hivyo na kuangalia kila wakati ukijaa anamwaga kwenye ndoo.

Hassan anasema kuwa anatamani sana kulala hata chaki au natumbo lakini hawezi, kwasababu ya dumu, na analolala nalo anaogopa kuozesha godoro,jamani watanzania yeyote anaweza kusaidia hata pempers, chakula na hata hela ya kipimo cha MRI laki nane na nusu tunaomba tumchangie mwenzetu.

Namba za msaada ni 0717438344 (AMINA HASSAN)

@muhimbili_taifa
@ummymwalimu
@dk_mollel

Host @imeldamtema

Leave A Reply