The House of Favourite Newspapers

Kisa Urais wa Marekani, Kim, Kanye Wamwagana

0

KANYE WEST anaamini sababu za Kim Kardashian kudai talaka ni kutokana na yeye kuutaka Urais wa Marekani mwaka 2020. Juzi Ijumaa (Feb. 19) Kim K aliwasilisha mahakamani ombi la talaka kutaka kuachana na Kanye.

 

 

Baada ya tamko hilo, Kanye alianza kuwatumia watu ujumbe mfupi na wengine kuwapigia simu akizungumzia ishu hiyo umeripoti mtandao wa PEOPLE.

 

 

Kutoelewana kumetokana na yeye kuwania urais wa nchi hiyo ambapo Kim hakuliafiki jambo hilo.

Leave A Reply