The House of Favourite Newspapers

Kumbe Gigy na Kiba Freshi tu

0

MWANAMAMA wa Bongo Fleva asiyeishiwa tafrani, Gigy Money ameweka wazi kwamba hana tofauti yoyote na King Kiba japo aliwahi kumkana kwa kusema hamjui wakati walikuwa wanafahamiana freshi tu.

Hii inakuja baada baada ya Gigy kumsapoti Shilole kwenye ugomvi wake na Kiba baada ya Kiba kusema hakumualika Shilole kwenye uzinduzi wa album yake ya Only One King.

Sasa, Gigy ambaye aliwahi kukiri kutembea kimapenzi na Kiba miaka ya nyuma kabla ya kuwa Gigy wa sasa, anasema kwa upande wake yupo freshi tu na Kiba na hana tofauti naye kama watu wanavyodhani.

Leave A Reply