The House of Favourite Newspapers

Kumbee! Esha Buheti Hamjui Baba Yake!

0
Staa mtata katika kinu cha ‘kutwangia’ filamu Bongo, Esha Salim Buheti ‘smart’.

STAA mtata katika kinu cha ‘kutwangia’ filamu Bongo, Esha Salim Buheti ‘smart’ ametoa ya moyoni kuhusu maumivu aliyonayo juu ya kutowahi kumuona baba yake mzazi na kwamba katika kipindi chote cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, miongoni mwa dua aliazoomba ni kumuona baba yake.

Esha aliiambia Star Mix kuwa, muda wowote kuanzia sasa anatarajia kupata mtoto wa pili hivyo kufuatia ujauzito alionao, kila akifikiria jambo la kutomjua baba yake humuuma sana na kwamba anaomba sana Mungu atende lolote liwezekanalo akutane na mzazi wake huyo.

Na Brighton Masalu | Ijumaa | Star Mix

Leave A Reply