LEMA: “Nilishangilia TAIFA STARS IFUNGWE, Ni Ya CCM, MAKONDA Kashasema” – Video

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, anaendelea na mikutano yake ya hadhara jimboni kwake ambapo leo Julai 05, amezungumzia Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) iliyorudi jana nchini ikitokea Misri ilipokwenda kushiriki michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).

Loading...

Toa comment