The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Febr 07 – Jeshi La Polisi Lakamata Bunduki 268 Kigoma

0


Jeshi la polisi Mkoani Kigoma kwa kushirikiana na mamlaka ya usimamizi wa wanyapori (TAWA) Mkoani humo wamefanikiwa kukamata Bunduki 268 miongoni mwake zikiwemo silaha za kivita zinazodaiwa kutoa nchi jirani ya Burundi ambazo zinaeleza kutumika katika vitendo mbalimbali vya kihalifu

Leave A Reply