The House of Favourite Newspapers

Rais Ndayishimiye wa Burundi Awasili Dodoma-Video

0

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma, ambapo amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. Mhe. Ndayishimiye yupo nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu.

Leave A Reply