The House of Favourite Newspapers

Mbatia Azungumza Mambo Mazito – Video

0

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia anasema ni ndoto za alinacha yeye kurudi Chama Cha Mapinduzi kwani kwa kufanya hivyo atakuwa amemsaliti Mama yake mzazi ambaye ni miongoni mwa waasisi wa Chama cha NCCR Mageuzi.

 

Akizungumza kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho Taifa Mbatia amesema kitendo cha yeye kurudi Lumumba (CCM) kutamkera Mama yake kaburini, atateseka na anaweza kutoka kwa hasira.

Mbatia anatoa kauli hiyo wakati kukiwa kuna wimbi kubwa la Viongozi wa Vyama vya Upinzani kukimbia Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

 

Leave A Reply