The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili wa Waziri Kwandikwa – Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ajumuika na waombolezaji wengine kushiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Elias John Kwandikwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Viwanja vya Karimjee – Dar es Salaam.

Leave A Reply