The House of Favourite Newspapers

Video: Wabunge Wa ACT Wazalendo Waapishwa Dodoma

0

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai leo Jumanne amewaapisha wabunge wanne wa ACT Wazalendo katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Wabunge hao ni Khalifa Mohamed Issa, Khatib Said Haji, Omar Ali Omar na Salum Mohamed Shaafi

Leave A Reply