The House of Favourite Newspapers

LUKAMBA – Ndoa Diamond na Tanasha Mmh../ Mke wa Pili? – VIDEO

Mpiga Picha wa Diamond Platnumz, Ashrafu Haji ‘Lukamba’ , amefungukia penzi la Boss wake pamoja na Mwanadada Tanasha Donna kutoka Kenya ambapo juzi tu ametoka kumtambulisha kwa wazazi wake akimaanisha kuwa ndoa inanukia.

Lukamba amesema Tanasha ni shemeji yake mpendwa na familia nzima ya Diamond imemkubali.

Lukamba pia amezungumzia kazi yake na changamoto alizozipata kipindi chote cha Wasafi Festival ambapo pia ameongelea Diamond na Rayvanny walivyodondoka jukwaani huko Sumbawanga.

 

Comments are closed.