MAAJABU: Hana Miguu wala Mikono, Apanda Mlima KILIMANJARO -Video

Kutana na Kyle Maynard raia wa Marekani aliyeweza kuupanda Mlima Kilimanjaro huku akiwa hana Miguu wala Mikono. Watu wenye ulemavu imeonekana kuwa ngumu sana kwao kuweza kufanya mambo makubwa ikiwemo kuupanda Mlima huo mrefu zaidi barani Afrika, lakini kwake Kyle ilikuwa ni kazi rahisi sana kuweza kufanikisha hilo na hivyo kuvunja rekodi duniani.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment