The House of Favourite Newspapers

Mahakama Yamuachia Huru Mwendesha Mashtaka Wa Serikali-Video

0

Aliyekuwa mwendesha mashitaka mkuu wa serikali mkoa wa Manyara Mutalemwa Kishenyi ameshinda kesi namba 24 ,2021 ambapo alikuwa ametuhumiwa kupokea rushwa ya shilingi million 5 kutoka kwa mkurugenzi mwenza wa kampuni ya Mati Super Brand limited Bw Gasper Mlay.

 

Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo katika mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Manayara na hakimu mkazi mfawidhi wa Mahakama ya mkoa Singida Mh Elimo Masawe kupitia njia ya kimtandao.

Leave A Reply