The House of Favourite Newspapers

Majambazi ‘Sugu’ 9 Walivyouawa, Baada Ya Kuwaua Wananchi-Video

0

Watu 14 wameuawa na wawili kujeruhiwa vibaya katika mapambano yaliyochukua siku mbili kati ya wafugaji na wezi wa mifugo huko Suyan, Kaunti ya Samburu nchini Kenya.

 

Kamishna wa Kaunti hiyo Abdrisak Jaldesa amesema majambazi tisa waliuawa baada ya kuwapiga risasi wafugaji wenyeji wa eneo hilo watano wakati wa mapambano hayo.

 

Na Innocent Matara – Global TV Kenya

Leave A Reply