The House of Favourite Newspapers

Makambo Awatoa Hofu Wananchi – Video

0

KLABU ya Yanga jana ilifanya Tamasha lake la Siku ya Wananchi likiambatana na kutambulisha wachezaji wapya baada ya kufanya usajili na kisha kucheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco kutoka Zambia.

 

Mshambuliaji wa Yanga aliyeweka kimiani bao pekee la Yanga, Heritier Makambo amewatoa hofu mashabiki wao kuwa msimu unaokuja utakuwa msimu bora sana kwa upande wao na watachukua makombe.

 

Mtanange huo wa kirafiki ulimalizika huku pilau la Yanga likitiwa tope kwa kuchezea kichapo cha mabao (2-1).

 

Leave A Reply