The House of Favourite Newspapers

Makame Mbarawa ni CR7 Aliyekuwa Benchi

0

Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Makame Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili.

 

Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika na Wafanyakazi ni Profesa Mbarawa. Umakini wa hali ya juu, Kutokurupuka, Kutodharau Watendaji, Uweledi na Busara ndiyo Silaha yake Kuu.

 

Profesa Mbarawa tafadhali usituangushe ambao hatujaanza Kukujua leo na sasa kachape Kazi kwani unaweza. Na najua wapo watakaokuja Kukukandia katika Uzi huu ila zote hizo zichukue kama Changamoto ya Kukujenga zaidi.

 

Mightier nikimsifia Mtu jua namaanisha kweli na nimeshajiridhisha nae hivyo nenda Kamsaidie Mama Serikalini. Mungu awatangulie Wote mlioteuliwa.

Haya ni Maoni ya Mdau.

Leave A Reply