The House of Favourite Newspapers

Najma ajiachia kimahaba

0

naj (5)Najma Dattan ‘Naj’ akiwa na Emmanuel Chaula ‘Ice Boy’.

STORI: GABRIEL NG’OSHA

KHA! Picha za sexy lady kwenye Bongo Fleva, Najma Dattan ‘Naj’ zimevuja zikimuonesha akijiachia kimahaba na msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Emmanuel Chaula ‘Ice Boy’ ikisemekana kwa sasa wamezama kwenye dimbwi zito la malovee.

naj (1)kizungumzia picha na tuhuma hizo, Ice Boy aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa Naj ni rafi ki yake wa karibu na hakuna kinachoendelea. Naj alipotafutwa hakupatikana.

Leave A Reply