The House of Favourite Newspapers

Una SmartPhone? Soma Hapa Uteleze Tuuu!

0
Ofisa Masoko wa Global Publishers, Samwely Eric (kushoto) akiwaelekeza wasomaji wa magazeti pendwa ya Global wa maeneo ya Tegeta Salasala namna ya kuyasoma kwa njia ya kidijitali yaani kupitia Global App au website ya www.globalapp.co.tz.

 

Mapema leo timu ya Maofisa Masoko wa Kampuni ya Global Group wameingia katika viunga mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa elimu juu ya umuhimu wa kusoma magazeti pendwa ambayo ni Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani kwa njia ya kidijitali.

…Samwel (kushoto) akiendelea kuwaelekeza namna ya kuingia katika simu zao ili waweze kuyasoma bure kwa kipindi cha mwezi mmoja huu tangia kuingia mtandaoni Januari Mosi 2021.

 

Maofisa hao wametembelea maeneo ya Tegeta Salasala, Tegeta Mbuyuni, Tegeta Nyuki na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam ikiwa ni njia mojawapo ya kuwahamasisha wasomaji wa magazeti hayo kuendelea kuyapata kupitia njia ya kidijitali.

 

Akizungumza na wasomaji wa maeneo ya Tegeta Salasala, Ofisa Masoko wa Global, Samwel Eric amesema kuwa Kampuni ya Global katika kuhakikisha inawajali wasomaji wake na wanaendana na wakati imeamua kuwawekea magazeti hayo kwa mfumo wa kidijitali (TEHAMA) ili kuwarahisishia kuoakoa mda wao ambao walikuwa wakiupoteza kwa kwenda katika meza za wauzaji na badala yake waendane na kasi ya teknolojia.

 

 

Magazeti pendwa yote ya Global Publishers kwa sasa yanapatikana kupitia mtandaoni pekee na ili kuyapata
hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers  ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima kwa hivi sasa sasa!

Hapa vijana wa eneo la Tegeta Salasala Dar, tayari ambao wameelekezwa namna ya kusoma magazeti ya Global Publishers wakifurahia baada ya kuingia kwenye simu yao na kuyasoma kiurahisi.

 

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website ya www.globalapp.co.tz #GlobalApp #GlobalPublishers #Uwazi #Risasi #Amani #IjumaaWikienda

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Cha Global Publishers, Anthony Adam (kulia) akiwaelekeza wasomaji wa magazeti pendwa namna ya kuyapata kupitia mfumo wa kidijitali ambako hivi sasa yanapatikana.

 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Cha Global Publishers, Anthony Adam (kulia) akimwelekeza msomaji wa magazeti pendwa wa Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam namna ya kuyapata kupitia mfumo wa kidijitali ambako hivi sasa yanapatikana.

 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Cha Global Publishers, Anthony Adam (kulia) akimwelekeza msomaji wa magazeti pendwa wa eneo la Tegeta Mbuyuni namna ya kuingia katika simu yake ya mkononi na kuyapata kiurahisi kabisa.

 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Cha Global Publishers, Anthony Adam (kushoto) akiwa dukani kwa mmoja wa wasomaji wa magazeti pendwa akimwelekeza umuhimu wa kutumia simu yake ya mkononi na kusoma magazeti hayo.

 

Ofisa Masoko wa Global Publishers, Songolo Bilal (kulia) akiwaelekeza wasomaji wa magazeti pendwa namna ya kuyapata kwa njia ya simu.

 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Cha Global Publishers, Anthony Adam (kulia) akimwelekeza msomaji wa magazeti pendwa wa eneo la Tegeta  jijini Dar es Salaam namna ya kuyapata kupitia mfumo wa kidijitali ambako hivi sasa yanapatikana.

 

Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store. Hapa Chini
⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫ iOS:https://apple.co/3msGaf8

Leave A Reply