Video: Mashabiki Simba ‘Wamwaga Machozi’, Walaumu Kosa Kosa Za Onana Na Saido
Mambo si mazuri kwa kwa mashabiki wa Simba, baada ya timu yao kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa AlAhly ya Misri katika mchezo wa Kwanza wa Robo Fainali uliomalizika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam