The House of Favourite Newspapers

Mastaa wa ‘Majuu’ Wanavyokula Bata Bab’Kubwa Baharini

MAJIRA ya joto ndiyo kwanza yameingia katika ukanda wa majuu (ukanda wa kaskazini wa dunia) na mastaa wa sehemu hiyo ya dunia ambao ndiyo washika mkwanja wakubwa, wanafurahia hali hiyo kwa kujivinjari baharini katika meli, mitumbwi, ngalawa, na kadhalika.

Mastaa hao wamekuwa wakimwaga fedha kubwa katika kukodisha na kutumia ‘zana’ hizo za majini.  Miongoni mwao ni Elton John, David Beckham, Cristiano Ronaldo, Kylie Jenner, Jay-Z na Beyonce…

Mwanamuziki Elton John na mshikaji wake.

Kylie Jenner akifurahia betidei yaka ya 22 akiwa katika boti yenye thamani ya £481m (Shs. tril. 1.3).

Watoto wa David Beckham na Elton John, wakifurahia  mazingira ya majini.

Ni furaha tupu kwa familia hii ya mastaa.

 

 The Tranquility is thought to cost more than £200m

Moja ya mashua za kifahari zinazotumiwa na watu hao maarufu.

Taswira ya moja za mashua za starehe zinazotumiwa na mastaa hao.

 The inside is decorated with 'marble, bamboo and gold leaf'

Hapo ni moja ya meli au boti za kitajiri zinazotumika kujivinjari majini wakati huu wa majira ya joto huko majuu.’

 

 Renting the boat will set you back a mammoth £198,000 every week

Kukodisha boti kama hii ni Sh. mil. 550 kwa wiki, bei ambayo haiwapi tatizo mastaa hao.
 Ronaldo relaxed alongside wife Georgina on board the Africa I
Ronaldo akijivinjari na mkewe Georgina katika boti iitwayo ‘Africa I’.

 The best feature of the boat is no doubt the inflatable water slide

Hii ni boti yenye zana za michezo kwa nje.

 Hidden behind the door on the back deck are two jet-skis

Boti ya ‘Afrika 1’ ilivyo na zana mbalimbali za kuongeza starehe kwa watumiaji.
 The footballer often snaps himself escaping for sun-filled holidays with pals and family

Ronald akifurahia maisha.

 The Kismet houses up to 12 guests on three decks

Bot ya Kismet inayotumiwa na familia ya Jay-Z.

 Beyonce and Jay-Z spent their summer on Shahid Khan's luxury cruiser Kismet

Beyonce na Jay-Z wakiwa katika boti ya Kismet inayomilikiwa na staa wa Pakistan,  Shahid Khan.

 They were snapped sunbathing on the huge boat, which is worth £160million

…Wakijinafasi. 

 There's a specialist 'club' room inside the house for parties

Moja ya taswira za boti hizo.

 Up on the top deck, an open air fire can be used for cooking

Hii ni sehemu ya kutayarishia maakuli. 

 Beyonce chilled out on the yacht with Blue Ivy, 7

Beyonce na bintiye, Blue Ivy, wakifurahia jasho lao.

Comments are closed.