The House of Favourite Newspapers

Mechi ya Arsenal vs Liverpool Yaahirishwa

0

Mchezo wa kombe la EPL kati ya Arsenal na Liverpool uliopangwa kuchezwa kesho umeahirishwa kutokana na kuongezeka kwa wimbi la UVIKO-19.

Awali, Liverpool waliomba mchezo huo usogezwe mbele kutokana na baadhi ya wachezaji wao kukutwa na maambukizi ya virusi hivyo hata hivyo chama cha soka England ‘FA’ wamekubali ombi hilo.

Wachezaji wenye Uviko-19 ni Robert Firmino, Joel Matip, Allison Becker na Thiago Alcantara. Kocha mkuu Jurgen Klopp na msaidizi wake Pep Lijnders. Mchezo huo umeahirishwa hadi itakapopangiwa tarehe nyingine.

Leave A Reply