The House of Favourite Newspapers

Mgunduzi wa Antivirus Afariki Gerezani

0

TAARIFA mbaya leo hii iliyochapishwa kwenye tovuti mbalimbali za habari za kimataifa ni kwamba, mgunduzi wa McAfee; ambayo ni antivirus kwa ajili ya kulinda kompyuta na virusi, John McAfee (75), amekutwa amefariki dunia, Mtaalam huyo alikutwa amekufa ndani ya chumba chake gerezani nchini Hispania.

Tukio hilo limefuata saa chache baada ya mamlaka kuruhusu apelekwe Marekani kuhukumiwa kwa makosa yanayomkabili, ambapo alishitakiwa kwa makosa ya kodi na angeweza kufungwa jela miaka 30.

 

Leave A Reply