The House of Favourite Newspapers

Miili Ya Mapacha Wanachuo Waliokufa Maji Wakiogelea Ziwa Victoria Ilivyoagwa Kanisani – Video

0

Wanafunzi wawili Mapacha Kenny Makomande na Lenny Makomande waliokuwa wanasoma Chuo cha Mipango Kampasi ya Mwanza mwaka wa tatu waagwa kanisani baada ya kufariki kwa kile kinachodaiwa kuwa kuzama katika Ziwa Victoria walipokuwa wakiogelea katika eneo la fukwe za Mihama Kata ya Kitangiri Wilayani Ilemela mkoani Mwanza.

Leave A Reply