The House of Favourite Newspapers

Mjane Alia Kudhulumiwa Kiwanja Chake-Video

0

Mwanamke mjane, Mariam Joseph Chuwa, analia! Kilio chake kinatokokana na mizengwe anayodai kufanyiwa na majirani zake, kuhusiana na kiwanja chake, kilichopo Bunju A jijini Dar es Salaam lakini jirani anayelalamikiwa, naye analalamika kwamba kinachozungumzwa na mwanamke huyo, hakina ukweli.

Leave A Reply