The House of Favourite Newspapers

Mke na Mume Mbaroni kwa Tuhuma za Kumuua Mtoto Wao

0

Paskari Erinest (46) na mkewe Jeska Balitazali (39) wote wakazi wa Sengerema wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao Aneth John(8) mwanafunzi wa darasa la awali shule ya Msingi Nyancheche.

 

Kaimu Kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Hamis Mwampelwa amedai moto huyo amepoteza maisha Machi 29, 2022 saa 11 jioni baada ya kupigwa na mama yake mzazi, Jeska Balitazali.

 

Kamanda Mwampelwa amedai mama huyu alikuwa na desturi ya kumpiga mtoto huyo hadi kukimbia nyumba na kuhamia kwa majirani.

 

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nyancheche, Josephati Maumba ameeleza kuwa mtoto huyo alikuwa mwanafunzi wa darasa la awali katika shule hiyo.

KHADIJA KOPA Atangaza MAHARI ya ZUCHU, AMTETEA VIDEO ya CHUMBANI na DIAMOND – “ATAOLEWA MUDA WOWOTE”

Leave A Reply