The House of Favourite Newspapers

Mke Na Mume Wanaoishi Na Ukimwi Waelezea Walivyozaa Watoto Wasio Na Ukimwi-Video

0

GLOBAL TV imefanya mahojiano na wanandoa wanaoishi na ugonjwa wa Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10, lakini wamefanikiwa kupata watoto ambao ni wazima kabisa kiafya.

 

Wanandoa hao wanaishi wilayani Bukoba Mjini, mkoani Kagera.

Leave A Reply