The House of Favourite Newspapers

Mkurugenzi Mkuu TTCL Aeleza Mipango ya Shirika Kwa Wahariri..

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dare es Salaam, kuelezea mipango na mikakati ya shirika hilo linavyoweza kuchangia taifa na wananchi kukua na kunufaika na Uchumi wa kidijitali.
Mkurugenzi wa Biashara Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Vedastus Mwita akizungumza kwenye mkutano huo na wahariri na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akifuatiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL), Peter Ulanga akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dare es Salaam, kuelezea mipango na mikakati ya shirika hilo linavyoweza kuchangia taifa na wananchi kukua na kunufaika na Uchumi wa kidijitali.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari (kushoto) wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa TTCL kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Mkutano wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), waandishi wa habari pamoja na TTCL ukiendelea kwenye Ukumbi wa Mikutano Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere
Leave A Reply