ExclusiveNews: Mmiliki wa Acacia Akutana na Rais Magufuli (+VIDEO)

Rais Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Prof. Thornton, Ikulu.

Balozi wa Canada nchini na M/kiti wa Barrick Gold Corporation (mmiliki mkubwa wa Acacia) Prof. Thornton wakiongea na waandishi wa habari.

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambaye ni mmiliki mkubwa wa Kampuni ya Madini ya Acacia, Prof Thornton na kufanya naye mazungumzo leo Juni 14, 2017.

Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amesema mmiliki huyo amekubali kampuni yake ikae meza moja ili kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania kuhusu yaliyoainishwa kwenye ripoti mbili za makontena ya mchanga wa madini ambazo zimeshawasilishwa kwake.

SOMA TAARIFA YA IKULU HAPA

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment