visa

Msanii Mlemavu Aliyeolewa na Mlemavu Asimulia “Walisema Sizai”

GLOBAL TV Online imemtembelea mwanamuziki wa kitambo, Irene Malekela, mwenye ulemavu aliyekuwa akiunda kundi la Choka Mbaya Sisters, ambaye kwa sasa ameokoka, ameolewa na anaendelea kulea familia yake.
Toa comment