The House of Favourite Newspapers

Mtoto amtesa Odama

0

e3f6b2bcade14b728751d0fb61439817

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’

Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku.

daAkizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia wakati mgumu kwa sababu kila mara ilikuwa lazima aweke vocha kwenye simu na kuulizia hali ya mtoto wake hatua kwa hatua.

“Niliteseka sana, nashukuru tumemaliza kampeni maana kila wakati nilikuwa nauliza hali ya mtoto kama amekula, ameanguka au hata amelala mara ngapi, nilihisi kama nataka kupata kichaa,” alisema
Odama.

Leave A Reply