The House of Favourite Newspapers

Mtoto wa Kiume wa Cristiano Ronaldo Afariki Dunia Baada Ya Kutarajia Mapacha

0

Kupitia ukurasa rasmi wa Cristiano Ronaldo wa Instagram, ametangaza kifo cha Mtoto wake wa kiume ambaye amezaliwa leo, hii inakuja baada ya kuripotiwa kuwa Ronaldo na Georgina walitarajia mapacha wawili ambapo ni pacha wa kike tu ndie amezaliwa salama.

Leave A Reply