The House of Favourite Newspapers

MV NYERERE: Tazama Mtambo Ulioletwa Kukinasua Kivuko! – VIDEO

KUTOKANA na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere iliyotokea Sept 20 mwaka huu katika Kisiwa cha Ukara na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 200 na wengine 41 wakinusurika, jitihada za serikali za kukinasua chombo hicho bado zinaendeklea ambapo tayari mtambo mkubwa kutoka katika Mgodi wa GGM umewasili kwa ajili ya kukinasua kivuko hicho.

 

Mtambo huo umewasili mapema leo asubuhi kwaajili yakufanikisha kukinasua kivuko hicho ambacho jitihada za awali zilizochukuliwa tayari zimefanikisha kukigeuza kivuko hicho na kukilaza ubavu.

 

Tazama Mtambo Ulioletwa Kukinasua Kivuko!

Comments are closed.