The House of Favourite Newspapers

Mwanafunzi Aliyepata Div. 1 ya 7 Afariki Akitoka Kutazama Matokeo

0

MWANAFUNZI Honest Mulokozi Juventus aliyekuwa akisoma katika Seminari ya Rubya iliyopo Parokia ya Kasambya, Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, amefariki dunia wakati akitoka kutazama matokeo yake ya Kidato cha Pili, maeneo ya Shule ya Optima akiwa anaendesha pikipiki baada ya kugongwa na gari la mizigo.

 

Matokeo yake ya FTNA:

Civics = A
History = A
Geography = A
B/Knowledge = B
Kiswahili = A
English = A
Physics = A
Chemistry = A
Biology = A
B/Maths = A

Division One (Points 7).

MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE.

 

 

Leave A Reply