Mwigulu: Nape Sio Jambazi…

Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameandika ujumbe katika mitandao ya kijamii kufuatia ishu ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye kutolewa bastola na mtu anayedaiwa kuwa ni askari kanzu.

Mwigulu ameandika ujumbe huo kulaani kitendo cha kutoa bastola hadharani

Ujumbe wa Waziri Mwigulu mtandaoni.

Kwa undani zaidi itazame Video Hapo chini nimekuwekea…

NA HIKI NDICHO ALICHOKIZUNGUMZA

Na Salum Milongo/GPL


Loading...

Toa comment