The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Mwl. Kashasha Waagwa Dar – Video

0

MWILI wa aliyekuwa mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) umeagwa leo Jumatatu, Agosti 23, 2021, nyumbani kwake, Mbagala Majimatitu ambapo baadaye utazikwa katika Makaburi ya Kinondoni.

 

Mwalimu Kashasha alifariki dunia Alhamisi, Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam. Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hadi umauti ulipomfika.

 

Leave A Reply