The House of Favourite Newspapers

Waziri Jafo Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Mndeme, Dodoma

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme aliyefika ofisini kwa Waziri kujitambulisha baada ya kuwasili rasmi Ofisi yanMakamu wa Rais katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma Machi 19, 2024.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amefika ofisini kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo kujitambulisha baada ya kuwasili rasmi Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma Machi 19, 2024.

Leave A Reply