NAIBU WAZIRI NDITIYE AMJIBU RAY, SAKATA LA KUIBIWA AIRPORT – VIDEO

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, amesema tuhuma  za Muigizaji Nguli Nchini, Vincent Kigosi ‘Ray’ akidai kuibiwa Akiwa ndani ya Airport, amezisikia lakini ameshangazwa na kitendo cha msanii huyo kwenda kulalamikia mitandaoni badala ya kutoa taarifa polisi ili tuhuma hizo ziweze kushughulikiwa.

Naibu Waziri Nditiye amesema kama Ray angetoa taarifa polisi basi ingekuwa rahisi sana kumnasa mtu aliyefanya wizi huo kwani kuna CCTV Kamera kona zote zilizozunguka uwanja wa Ndege.

Loading...

Toa comment