The House of Favourite Newspapers

Ijumaa Figa Bomba: Sanch Apigwa Zengwe

IJUMAA | Nani Figa Bomba Matata

WIKI hii aliyeaga shindano ni modo Amber Lulu lakini mshiriki mwingine, Sanch amepigwa zengwe na baadhi ya wadau wakisema eti figa yake siyo orijino. Kama na wewe unaamini hivyo, hebu tembelea ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la Gazeti la Ijumaa uone picha zake kibao na utuambie, yuko orijino au feki?

Wewe msomaji shiriki katika kumpata mshindi kwa kumpigia kura yule unayeona ana figa bomba kuliko wengine. Unafanyaje? Jibu ni rahisi! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia sms kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume kwenda namba 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.

 

Save

Save

Comments are closed.