The House of Favourite Newspapers

Figa Ya Sasha Yazua Utata

KALIO la muuza nyago wa video mbalimbali za wanamuziki Bongo, Sasha Kassim limezua utata kwa kudaiwa kuwa si halisi. Chanzo kimepenyeza ubuyu kuwa, Sasha amekuwa ‘akijiedit’ kupitia simu yake hivyo watu kumuona ana kalio…

Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy Money. Hamida Hassan Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money anasema ukiwa na kipaji cha kuimba kisha ukawa umejaaliwa figa bomba kama alivyo yeye, lazima utusue. “Si unaniona nilivyojaaliwa figa matata,…

Sanchoka Aapa Kumng’oa Jokate

Toa la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ kuanika hisia zake kuwa anamzimikia vilivyo, Mbongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na kuapa kumuondoa mazima…

Mapenzi Yamficha Masogange

VIDEO Queen mwenye figa bomba Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa ukimya wake wa hivi karibuni na kutojichanganya kwa watu mbalimbali ni kwa sababu ya mpenzi ambaye amempata kwa sasa kwani anambana sana. …

Kajala, Masogange Chupuchupu…

SHINDANO la kumsaka staa wa kike Bongo aliyejaaliwa kuwa na shepu bomba linaendelea na sasa ni hatua ya 5 Bora ambapo wiki hii, Masogange na Kajala wamegongana kura ambapo ilibaki kidogo tu mmoja atoke. Kwa maana hiyo wiki hii hakuna…

Top 5 Washiriki Wagombea Kura

BAADA ya kupatikana tano bora ya shindano hili la Figa Bomba wiki iliyopita, washiriki sasa wanagombea kupigiwa kura ili waweze kuingia tatu bora. Kumbuka kura yako msomaji ni muhimu na wewe ndiye wa kupendekeza nani mwenye Figa…

Chombezo: Utamu Usioisha Hamu -01

Ndani ya gari aina ya Jeep nyeusi alikuwa akisikiliza muziki laini kabisa! Mawazo yake mengi ni kuhusu mkutano wake atakaofanya na wafanyabiashara kutoka China. Mzee Mombasa alihitaji kupanua wigo wa biashara zake na kuzifanya za…

Simulizi: Msamaha Wa Mama- 02

MWANDISHI/MTUNZI Saed Bin Salim Machozi yalishaanza kunitoka, mama naye tayari alikuwa anabubujikwa na machozi kwa nilichomuambia. "Mama yangu mimi nateseka sana mwanao, naomba uniambie kuhusu baba niteseke kwa kuchekwa kuishi na…

Gigy, Abdu Kiba full malovee!

Stori: Mayasa Mariwata Ilikuwa juzikati ndani ya Ukumbi wa Club Bilcanas ambapo mwanadada mwenye figa f’lani bomba, Gigy Money juzikati alipanda jukwaani na kuimba sambamba na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Abdu Kiba. Kilichowavutia…