The House of Favourite Newspapers

Nyumba ya Kobe Bryant Yapigwa Mnada

0

Nyumba aliyokalia aliyekuwa gwiji wa mpira wa Kikapu, marehemu Kobe Bryant imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($810,000) sawa na TZS. Bilioni 1.8.

 

Kwa mujibu wa TMZ Sports, nyumba hiyo iliyopo mjini Pennsylvania iliwekwa sokoni mwezi Septemba kwa dau lililofikia ($899,000) ikiwa na vyumba vitano vya kulala, mabafu matatu pia goli la kikapu ambalo Kobe alilitumia utotoni mwake kujifua hadi kuwa mkali wa muda wote kwenye mchezo wa Kikapu.

Leave A Reply