×

Njooni Uwanjani Ila…

UNAAMBIWA Simba wamepanga kuanza mechi yao ya leo dhidi ya Plateau kwa kasi kubwa kiasi cha kuwafanya wachezaji wa timu...

READ MORE

Babu Tale, TRC Wazindua Barabara Ngerengere

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Hamis Shabani Taletale, leo Desemba 5, 2020, amezindua ukarabati wa barabara ya kilometa 70.45...

READ MORE

Dkt. Abbasi Awatembelea THT, Aahidi Kuenzi Ndoto za Ruge

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, jana Desemba 4, 2020,   amekutana na...

READ MORE

Miss Tz 2020 Hapatoshi Leo

TIMU ya warembo 20 wanaowania Taji la Miss Tanzania 2020, wana jambo lao kesho ambapo patakuwa hapatoshi, warembo hao wenye...

READ MORE

Husna Amshushia Nai Tuhuma Nzito

MREMBO aliyejipatia umaarufu Bongo kupitia mashindano ya urembo ya Miss Tanzania miaka ya nyuma na u-video vixen, Husna Maulid amemshushia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risais kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 5, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 5, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Jamii Yatakiwa Kuongeza Nguvu Kupambana na Ukatili wa Kijinsia

KATIKA kuelekea maadhimisho ya siku  16 za kupinga ukatili wa kijinsia zilizoanza Novemba 25 hadi Disemba 10, mwaka huu, jamii...

READ MORE

Umoja wa Mabalozi Afrika Watembelea Hospitali ya Kairuki Kujionea Huduma Zakisasa

UMOJA wa Mabalozi wa Afrika leo wametembelea Hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni Jijini Dar na kujionea huduma za kisasa zinavyotolewa...

READ MORE

Kumekucha Zuchu na Rayvanny

  ACHANA na rekodi za wimbo wao wa Number One unaendelea kukiamsha mitaani na mtandaoni, lakini habari nzito ni kwamba...

READ MORE

Namna Ambavyo Tanzania Inaweza Kuendelea Kuiwezesha Sekta Binafsi

Inafahamika kuwa Tanzania imekuwa na kipindi imara cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita. Hii imesaidia nchi hii kuwa...

READ MORE

Kampuni ya New Habari Yasitisha Uzalishaji

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba, leo Desemba 5, 2020 imetangaza kusitisha...

READ MORE

Kiduku, Dullah Mbabe Ndani ya Usiku wa Mabingwa Desemba 26

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ na Twaha Kiduku wanatarajiwa kupanda ulingoni Desemba 26, mwaka huu...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 2

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE

Mashabiki Uingereza Waruhusiwa Kuingia Viwanjani

MASHABIKI wa mchezo wa soka nchini Uingereza wameruhusiwa kurejea viwanjani kushuhudia michezo mbalimbali huku wakisisitizwa kufuata utaratibu wa kuchukua tahadhari...

READ MORE

Bruno Amjia Juu Ole

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, alikuwa katika benchi akishuhudia timu yake ikipata kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya...

READ MORE

Mganga Mkuu: Tuhakikishe Tunazuia Vifo vya Wajawazito

  MGANGA Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi, amesema kuwa Serikali haitovumilia tena vifo vya akina mama wajawazito vinavyosababishwa na...

READ MORE

Rose Mhando Shavu Dodo

STAA wa muziki wa Gospol Afrika Mashariki, Rose Muhando ameyashinda majaribu ya umauti na sasa ameibuka upya akiwa amenawiri ‘shavu...

READ MORE

Nyota Taifa Stars Atwaa Tuzo Ulaya

MCHEZAJI wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf anayekipiga katika Klabu ya Wrexham Association FC ya Wales kwa mkopo akitokea Boreham...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko kwa Ma-RPC

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi, ambapo aliyekuwa RPC wa...

READ MORE