×

Serikali Kumwaga Ajira Mpya 44,000

SERIKALI inatarajiwa kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/2021. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 17, 2020

 Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo April 17, 2020. Ni yale ya...

READ MORE

Rostam Akabidhi Vifaa Kupambana na Corona Kwa RC Makonda

Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz amekabiodhi vifaa mbalimbali vikiwamo vitakasa mikoni na barakoa ili kusaidia mapambano dhidi ya corona jijini...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Mnaonekana Baa na Corona Hii Muambiweje? – Video

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiomba serikali kutolea matamko kuhusu Corona Bungeni jijini Dodoma. Aidha, Spika Ndugai amewataka wabunge kuacha...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...

READ MORE

Mashindano Ya Kuran Yaahirishwa jijini Dar

Kamati ya maandalizi ya mashindano maalum ya kusoma kuran Afrika yaliyotakiwa kufanyika jijini Dar Mei 10 mwaka huu imeyasitisha mashindano...

READ MORE

Mazishi ya Mzee wa Miaka 100 Aliyejengea Shule Watoto Wake – Video

MWILI wa marehemu Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, mkazi wa wilayani Monduli mkoani Arusha aliyekuwa na umri zaidi...

READ MORE

Yanga Yajadiliwa Bungeni, Morrison, Tshishimbi Watajwa -Video

 MBUNGE Ali Kessy, amemuomba waziri wa utumishi na utawala bora, George Mkuchika, kuiingiza klabu ya soka ya Yanga, katika...

READ MORE

Sven: Kagere ni Mtu wa Kazi Uwanjani

SVEN Vandenbroeck ambaye ni kocha mkuu wa Simba, amesema amekuwa akishangazwa na uwezo wa mshambuliaji wake, Meddie Kagere ndani ya...

READ MORE

WHO Lamshutumu Trump Kulinyima Fedha

MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameshutumu uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kutopeleka...

READ MORE

Kenya: Wananchi Watishia Kutoka Karantini

MAKUMI ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji...

READ MORE

Mwanza: Mahabusu 2, Mfungwa Wauawa Wakitoroka – Video

MAHABUSU wawili  na mfungwa mmoja wamefariki dunia wakati wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza walipokuwa wakishikiliwa kwa...

READ MORE

Trump Kusitisha Fedha WHO, China na Ujerumani Zanena

 CHINAimeitaka Marekani kutotelekeleza jukumu lake kwa shirika la afya duniani (WHO) baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kusitisha...

READ MORE

Majaliwa: Marufuku Sunday Schools, Madrasa – Video

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Aprili 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo April 16, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Watanzania Wahimizwa Kushirikiana na Wasaidizi wa Sheria

Jamii imehimizwa kushirikiana kwa karibu na wasaidizi wa kisheria chini ili kuwalinda wasichana na ndoa za utotoni ambazo huchochea umaskini,...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Akidaiwa Kubaka Watoto Wake Wawili Mapacha – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikilia mkazi wa mtaa wa Rebu Shuleni, mjini Tarime mkoani Mara, Marwa Mwita...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Wafikia 88 Tanzania

Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88...

READ MORE