×

Airtel na VETA wazindua upya Airtel-VSOMO Kupanua Mafunzo ya Ufundi Kidigitali

Tarehe 5 Mei 2026, Airtel Tanzania na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wameingia makubaliano ya kimkakati...

READ MORE

Nafasi za Kazi Wezesha Mzawa Microfinance – Loan Officer, Mwisho wa Maombi Mei 5, 2026

We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will...

READ MORE

Jasinta Makwabe Aeleza Kisa Cha Kushtua Cha Mwanaume Aliyemdanganya Akafanya Send-off

Msanii na mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Jasinta Makwabe, akiwa katika mahojiano na kituo kimoja cha redio amesema anatamani...

READ MORE

Nani Atavuka? Arsenal vs Atlético Madrid Baada ya Sare ya Awali leo

Leo Mei 5 saa 22:00 kwa saa za Afrika Mashariki, dimba la Emirates huko London litakuwa kinara wa mapambano makali...

READ MORE

Mwenyekiti wa Kikundi cha Sera cha GSMA Afrika Ataka Mageuzi ya Kikodi

KINSHASA, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mei 5, 2026 – Mkuu wa Udhibiti wa Airtel Africa na Mwenyekiti wa Kundi...

READ MORE

Beyoncé Ang’ara Met Gala 2026 Arudi Kwa Kishindo Baada Ya Miaka 10

Tamasha la mitindo la Met Gala limefanyika kwa kishindo usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2026 huku mastaa mbalimbali wakionyesha ubunifu...

READ MORE

Shinda Sehemu ya TZS Bilioni 5: Ingia Mchezoni na Bahati Nasibu ya Taifa Leo

Kama unapenda burudani, presha ya mchezo na ushindi wa kweli huu ndio wakati wako wa kuwa mchezoni. Bahati Nasibu ya...

READ MORE

Mbeto Ampasha OMO Uchaguzi Mkuu Zanzibar Umeshafanyika

Chama Cha Mapjnduzi kimemtaka Mwenyekiti wa ACT Wazalendo , Othman Masuoud Othman, kutowapotosha Wananchi kwa kudai kuna waliojipa Mamlaka ilahali...

READ MORE

Carrick Aibuka Shujaa Mpya Old Trafford, Cunha Aunga Mkono Ajira ya Kudumu

Kiungo mshambuliaji, Matheus Cunha ameendelea kumiminia sifa kocha wa muda wa Manchester United, Michael Carrick, akisema anastahili kupewa kibarua cha...

READ MORE

Cameron Diaz Ajaliwa Mtoto Wake wa Tatu na Mume Wake Benji Madden

Muigizaji maarufu wa Hollywood, Cameron Diaz (53), amepata mtoto wake wa tatu pamoja na mume wake, mwanamuziki wa rock Benji...

READ MORE

Kila Siku ni Nafasi Mpya: Spring Season of Legends Inakupa Fursa ya Ushindi

Kama unatafuta nafasi ya kubadilisha mchezo wako na kuingiza pesa kwa mtindo wa kipekee, basi Spring Season of Legends ya...

READ MORE

Yas Tanzania Yaendesha Kambi Ya Siku Tatu Ya Huduma Za Macho Bure Kilwa

Kilwa, Lindi – Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania, kwa kushirikiana na Bilal Muslim Mission of Tanzania pamoja na KSI...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

TAEC Yaendeleza Ushirikiano na India Katika Teknolojia ya Nyuklia

Tanzania imepiga hatua   muhimu katika safari yake ya kuimarisha matumizi salama na ya amani ya teknolojia ya nyuklia, kufuatia ziara...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Mapokezi ya Kihistoria Kumkaribisha Rais Ruto Ikulu (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempokea mgeni wake rasmi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William...

READ MORE

Rais William Ruto Awasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku Mbili (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, amewasili nchini Tanzania leo Mei 4, 2026 kwa ziara ya kitaifa ya siku...

READ MORE

Marekani Yakanusha Taarifa za Shambulio la Meli ya Kivita Hormuz

Mvutano kati ya Marekani na Iran umeendelea kupanda baada ya Marekani kukanusha madai kuwa meli yake ya kivita ilishambuliwa katika...

READ MORE

ACT Wazalendo Yakataa Ripoti ya Tume ya Jaji Chande Kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025

Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imefanya tathmini ya kina ya Muhtasari wa Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kuhusu mauaji...

READ MORE

CAF Yamteua Mwamuzi Ndala Kuongoza Fainali ya Mamelodi Sundowns vs FAR Rabat

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Jacques Ndala, kusimamia mchezo wa mkondo...

READ MORE

Pep Guardiola Aongoza City Wakiwa na Malengo ya Ubingwa, Everton Wapigania Nafasi za Ulaya

Mechi ya leo Uwanja wa Hill Dickinson Stadium inachezwa kwa mara ya kwanza kati ya timu hizi, huku Manchester City...

READ MORE