×

Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)

Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ ameachia wimbo wake mpya wa Binadamu amemshirikisha Mwimbaji maarufu wa Bongo...

READ MORE

Matokeo uchaguzi Afrika Kusini 2024: ANC Kupoteza Wabunge Wengi – Live Video

CHAMA tawala nchini Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kupoteza wabunge wengi kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka...

READ MORE

Mke wa rais wa zamani wa Zambia akamatwa kwa tuhuma za ulaghai

Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu na bintiye Chiyeso Katete wamekamatwa kwa kumiliki mali zinazoshukiwa kuwa ni...

READ MORE

RC Makonda Akerwa Na Mivutano Baina Ya Watendaji Na Viongozi Wa Jiji Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekerwa na tabia ya malumbano na kuvutana kwa viongozi, Baraza la Madiwania...

READ MORE

Trump apatikana na hatia kwa mashtaka 34 ya jinai

Jopo la wajumbe wa mahakama moja mjini New York, Alhamisi limempata na hatia rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...

READ MORE

Petit Man Kugombea Urais Yanga, Ataja Rapa Wake Bora – Video

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamad Manungwi almaarufu Petitman amefunguka jinsi alivyoanza kujitafuta tangu kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kuigiza...

READ MORE

Makonda Awakusanya Mabosi Wa Kila Idara Na Kumuuliza Mkurugenzi – ”Kati Ya Hawa Nani Haumtaki?”- Video

Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda katika muendelezo wa ziara yake Arusha mjini amekutana na kizingiti cha ofisi nzima...

READ MORE

Billnass feat Jux – Maboss (Visualiser)

Habari ya mjini kwa sasa ni mkwaju mpya wa mastaa wa Bongo Fleva, @billnass na @juma_jux uitwao Mabosi! Unaambiwa mkwaju...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Mei 31, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingine....

READ MORE

Viongozi, Wabunge wamiminika Kwenye Maonesho ya Utalii Kwenye Viwanja vya Bunge

Viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wameendelea kumiminika kwenye maonesho maalum yaliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyoanza kwenye viwanja vya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Asalimiana na Wanachama, Viongozi wa CCM Singida Baada ya Mkutano wa Ndani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya Wanachama na Viongozi wa...

READ MORE

Urus Tanzania Yawashauri Wafugaji Kutumia Mbegu za Mifugo Zilizoboreshwa

Urus Tanzania, ambayo ni kampuni tanzu ya Urus global, inayojishughulisha na usambazaji wa mbegu bora za ng’ombe wa maziwa na...

READ MORE

TADB Yashiriki Maonesho Wiki ya Unywaji Maziwa Kitaifa Mwanza

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inashiriki maonesho ya 27 ya Wiki ya Unywaji maziwa Kitaifa jijni Mwanza huku...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito Kwa Taasisi Za Kifedha Kuzitambua Hati Za Kimila

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo...

READ MORE

Azam Yatangaza mshambuliaji Jhonier Blanco raia wa Colombia kutoka klabu ya Aguilas Doradas

Baada ya kujihakikishia nafasi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, klabu ya Azam imeendelea kujiimarisha baada ya...

READ MORE

Ndege nyingine ya Marekani ya MQ-9 imeanguka nchini Yemen

Ndege nyingine ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper isiyokuwa na rubani, ilianguka nchini Yemen, picha zilionyeshwa Jumatano, wakati waasi wa...

READ MORE

Watanzania Hawatafungwa Midomo Kutangaza Mafanikio ya Samia Suluhu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kupitia juhudi za Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Mtoto Darasa La Nne Adai Kubakwa Na Bodaboda, Afika Kwa Makonda – Video

Bibi ameongea kwa uchungu mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kuwa mjukuu wake amebakwa na aliyembaka baada...

READ MORE

Sugu ambwaga Msigwa uenyekiti Kanda ya Nyasa

UCHAGUZI wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa unafanyika katika Mji wa Makambako Mkoa wa Njombe kwa kushuhudia Joseph Mbilinyi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Tume ya Mipango, TAEC, NACTVET

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji,...

READ MORE