×

Wanachama AAFP Wafurahia Sera Mpya Yenye Mrengo wa Kijinsia

    MTANDAO wa jinsia nchini, TGNP kwa kushirikiana na shirika la Kimataifa la WiLDAF umeendelea kutoa muongozo kwa vyama...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi la 11 Mkoani Tanga 

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi...

READ MORE

GGML, RC Geita Wazindua Mpango wa Upandaji Miti

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Halmashauri ya...

READ MORE

Mch. Masanja awataka viongozi kuwa kioo cha jamii

MSHAURI wa masuala ya itifaki na uongozi bora, Mchungaji Emmanuel Masanja, amewataka viongozi kufanya mambo yenye maadili wakiwa mwangani au...

READ MORE

Dkt. Mayala ashusha nondo 5 za kiongozi bora

MTAALAM wa ushauri wa mambo ya uongozi, utawala na menejimenti, Mchungaji Dk. Joseph Mayala, ametaja mambo matano ambayo kiongozi anatakiwa...

READ MORE

Simba Yafuzu Hatua ya Kwanza Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

KLABU ya Simba Imefuzu kwa raundi ya kwanza ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakurugenzi, Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa Bodi ya TCRA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Tanzania...

READ MORE

Mobeto: Nimechagua Kuishi Maisha Yangu na si Vinginevyo ndiyo Maana Sichuji

Hamisa Hassan Mobeto; ni mwanimitindo wa kimataifa na msanii wa muziki nchini Tanzania, ambaye anasema kuwa, katika maisha yake amechagua...

READ MORE

Polisi Yaua Wahalifu Sita Sugu wa Unyang’anyi Eneo la Makongo Dar es salaam

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro leo Jumapili Septemba 18, 2022 amesema Jeshi la...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri Hapoi Ligi ya Mabingwa Afrika

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri, ameweka wazi licha ya ugumu wa michuano ya kimataifa ambayo wanashiriki, bado malengo yake...

READ MORE

Smith Amponza Mwakinyo, Afungiwa Uingereza, Apanda Viwango Kwa Nafasi Mbili Duniani

  BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amesimamishwa kucheza pambano lolote nchini Uingereza na bodi ya udhibiti ya...

READ MORE

Harmonize Atabiriwa na Mashabiki wa Muziki Kumfunika Diamond

  Baadhi ya mashabiki wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania wanatabiri kwamba, wasanii Harmonize au Konde Boy na Rayvanny...

READ MORE

Kutoka Kwenye Simulizi za Knud, Mpaka Kwenye Ushindi Mkubwa Meridianbet!

Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye...

READ MORE

Rais Biden, Samia Wawasili London, Viongozi 500 Kutoa Heshima za Mwisho kwa Malkia

    Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya *Gazeti la SpotiXtra* leo Sep-18 Kwa nusu bei tu   *Gazeti la Spoti Xtra*https://bit.ly/3d8qcYV AU *SpotiXtra*https://bit.ly/3d8qcYV...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Septemba 18, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 18 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Tanzania Health Promotion Support (THPS), Sub Grants Officer 

Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011....

READ MORE

Haaland Aendelea Kuuwasha Moto wa Kupachika Mabao Ligi Kuu ya Uingereza

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester City Erling Haalnd ameendeleza moto wake wa kufania nyavu katika michezo ya Ligi Kuu ya...

READ MORE

Awekwa Chini ya Ulinzi kwa Kosa la Kulisogelea Jeneza la Malkia Elizabeth II

MTU mmoja ambaye jina lake halijawekwa wazi amewekwa chini ya ulinzi baada ya kulisogelea jeneza la Malkia Elizabeth ambapo alitoka...

READ MORE

Zaidi ya Watu 130 Wafariki Kutokana na Mafuriko Nchini Sudan

ZAIDI ya watu 130 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamenusurika kifo kwa sababu ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko...

READ MORE