The House of Favourite Newspapers

Papa Francis Atangaza Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini anayo furaha kutangaza kwamba, Baba Mtakatifu Fransisko amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeyana kuwa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya likiwa na majimbo ya Iringa na Sumbawanga

Comments are closed.