The House of Favourite Newspapers

Penny Mungilwa Nyumbani kwake kuna klabu ndogo

0

Penny (4)Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.

SIKU zote hapa huwa tunawatembelea mastaa mbalimbali nyumbani kwao. Leo tunaye Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ anayeishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.

Penny (9)Anaipenda nyumba yake. Ameidizaini mapambo kwani mwenyewe pia anafanya shughuli hiyo na kutengeneza kipato pia. Mbali na kupambwa na vitu tofauti, nyumbani kwake kuna klabu ndogo yenye vinywaji vilivyo na kilevi na vya kwaida.

Penny (10)
Kama hiyo haitoshi, kuna  eneo maalum aliloweka mtungi wa shisha. Anatumia sanjari na marafiki zake wanaotumia kilevi hicho pale wanapomtembelea.Penny (11)Penny (2) Penny (3)
Penny (5) Penny (6) Penny (1)Penny (7) Penny (8)

Leave A Reply