The House of Favourite Newspapers

Producer Lamar: Majani Hakuwa na Imani na Mimi

0

Producer wa muziki wa BongoFleva Lamar Fishcrab amesema kabla ya kuwa mtayarishaji wa muziki alikuwa rapa na msanii aliyekuwa anamtazama kwa kipindi hicho alikuwa ni Bow Wow kutoka nchini Marekani.

 

Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani naye kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba anaweza kuandaa muziki.

 

Lakini Baadaye Producer Dunga ndiye aliyempa imani P Funk Majani mpaka kuanza kumkubali na kumuamini Lamar amekwiva kuwa mtayarishaji wa muziki.

Leave A Reply