The House of Favourite Newspapers

Pumzika Mama Abdul, Hivi Ndivyo Alivyozikwa – VIDEO

Mtoto wa marehemu, Abdul akiweka shada kwenye kaburi la mama yake.
HATIMAYE mwili wa aliyekuwa muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul leo Januari 28, 2019 umepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Chang’ombe Maduka Mawili jijini Dar es Salaam.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Kaftani wakifuatilia Ibada Kanisani wakati mwili wa Mama Abdul ukifanyiwa maombi kabla ya mazishi.

 

Muigizaji JB akipita mbele ya jeneza kuaga mwili wa marehemu.

 

Jeneza lenye mwili wa marehemu.

 

Jengua (katikati) akisalimiana na waigizaji Catherine Rupia (kulia) na Davina

 

Joti akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu.

 

Mama wa marehemu baada ya kuweka mchanga kwenye kaburi la mwanaye.

 

Mchezaji wa zamani wa Simba na Yanga, Selemani Mathew akiweka shada kwa niaba ya wanamichezo.

 

Mike Sangu akitoa heshima za mwisho.

 

Umati wa waombolezaji ukiwa msibani.

 

Waombolezaji wakiingiza jeneza lenye mwili wa marehemu kaburini.

Picha: Na Richard Bukos | Global Publishers

TAZAMA TUKIO LA MAZISHI

Comments are closed.