HabariKitaifa Rais Magufuli Amefanya Uteuzi Mwingine Leo Mei 4, 2017 Last updated May 4, 2017 0 Share IKULU: Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Uteuzi umeanza Mei 2, 2017. ikuluMagufuliuteuzi 0 Share